Monday, 27 June 2016
BAJETI YA MRADI
MTIRIRIKO WA FEDHA | ||||
MWEZI | 1 | 2 | 3 | 4 |
Mapato | 2,000,000 | 3,500,000 | 4,000,000.00 | 6,000,000 |
Matumizi | 20,000,000 | 5,000,000 | 5,000,000 | 4,500,000 |
Baki | -18,000,000 | -1500 | -1,000,000 | 1,500,000 |
MWEZI | 5 | 6 | 7 | 8 |
Mapato | 7,500,000 | 9,000,000 | 10,000,000 | 12,000,000 |
Matumizi | 5,000,000 | 5,000,000 | 5,000,000 | 5,000,000 |
Baki | 2,500,000 | 4,000,000 | 5,000,000 | 7,000,000 |
MWEZI | 9 | 10 | 11 | 12 |
Mapato | 15,000,000 | 17,000,000 | 18,000,000 | 19,000,000 |
Matumizi | 5,000,000 | 5,000,000 | 5,000,000 | 5,000,000 |
Baki | 10,000,000 | 12,000,000 | 13,000,000 | 14,000,000 |
MWAKA | Y1 | Y2 | Y3 | TOTAL |
Mapato | 15,500,000 | 130,000,000 | 150,000,000 | 295,500,000 |
Matumizi | 34,500,000 | 100,000,000 | 135,000,000 | 269,500,000 |
MPANGO WA BIASHARA
1.0 Utangulizi:
TUNAWEZA WELDERS
GROUP(TWG) ni kikundi cha
kijamii (CBO) Kimesajiriwa na idara ya maendeleo ya jamii ya Halmashahauri ya
Wilaya Muleba kwa Nambari. ZM/KIJ/KU.44./2011 (Hati ya usajiri imeambatanishwa.
1.1 MALENGO MAKUU YA KIKUNDI
·
Kuhamasisha ualishaji wa bidhaa kibiashara.
·
Kuwajengea uwezo vijana juu ya Elimu ya ufundi kwa vitendo na ujasiliamali.
·
Kuhamasisha vijana wa wilaya ya Muleba kushiriki
katika shughuli za maendeleo.
·
Kuhamasisha na kuinua vipaji vya vijana
·
Kuhamasisha elimu ya ufundi na ujasiriamali.
·
Kuafuta vyanzo vya ujenzi na mapao kwa vijana.
1.2 MUUNDO UONGOI
WA KIKUNDI
UONGOZI
|
UTAWALA (UZALISHAJI)
|
MWENYEKITI
|
KATIBU
|
MENEJA
|
MWEKA
HAZINA
|
MHASIBU
|
KAMATINDOGO
NDOGO
|
AFISA
MASOKO
|
MHUDUMU OFISI
|
IDARA
KIUZALISHAJI
|
1.3 HALI
HALISI YA VIJANA KATIKA WILAYA
Wilaya ya Muleba
ina idadi ya watu 540,00 kulingana na
taarifa ya sensa na makazi ya mwaka 2012.
Vijana kati ya miaka 14 – 35 ni
asilimia 30% ya wakazi wote wa Wilaya;
Nguvu kazi ya Wilaya hutegemea
uwepo wa vijana kati ya miaka 14 – 35.
Kuna ongezeko kubwa la vijana
wanaomaliza darasa la saba, kidato cha nne na sita na vyuo.
Ni vijana wachache huweza kupata
ajira kaika serikali na mashirika.Takribani asilimia zaidi ya 50% ya vijana hukosa ajira rasmi. Matokeo
yanayotokana na ukosefu wa ajira kwa vijana
·
Kuongezeka
kwa wazururaji
·
Uvunjifu
wa amani na vitendo vya jinai.
·
Umaskini
kati ya vijana na jamii
·
Magojwa
yakuamukiza- Ukimwi na magonjwa ya zinaa
·
Madawa
ya kulevya.
2.0 HALI HALISI YA UZALISHAJI.
Mradi mkuu kwa wanachama ni
shughuli mbalimbali za ufundi katika karakana ya SIDA Muleba.
Shughuli hizo ni pamoja na;
·
Ukerezaji vyuma, milango, madirisha n.k
·
Ujenzi
·
Utengenezaji
magari na pikipiki
·
Ufundi
seremela
·
Ufundi
umeme
Wateja wa uzalishaji huu upatikana
ndani na nje yaWilaya ya Muleba; Ikwemo.
·
Watu
binafsi
·
Makampuni
·
Mashirika
·
Serikali
·
Hali
halisi ya kiuzalishaji ni asilimia 20% ikitokana na ukosefu wa nyenzo za
kufanyia kazi.
·
Pato
la mwanachama wa kawaida huwa ni chini ya Dola
1 ya kimarekani hii hupelekea
mafundi wengi kufanya kazi kwa ajiri ya kupata fedha ya kujikimu tu (Subsistence
income)
3.0 MATARAJIO KIUZALISHAJI
Aina ya ufundi
|
Mwaka 1
|
Mwaka 2
|
Mwala 3
|
Jumla
|
Ukerezaji
|
16,000,000/=
|
19,500,000/=
|
67,000,000/=
|
102,000,000/=
|
Ufundi pikipiki/ magari
|
14,600,000/=
|
16,000,000/=
|
19,700,000/=
|
50,300,000/=
|
Ufundi umeme
|
16,000,000/=
|
17,900,000/=
|
19,000,000/=
|
52,900,000/=
|
na mabango
|
4,000,000
|
6,000,000/=
|
9,000,000/=
|
19,000,000/=
|
JUMLA TSH. 222,100,000/=
|
MKAKATI WA
MASOKO.
-
Kutakuwa na mkakati wa masoko ili kuongeza kiwango
cha wateja na mauzo.
v
Mikakati hiyo itakua
kama ifuatavyo;
·
Kufunga mikataba na mawakala
·
Kutengenea alama za biashara (Trade mark), pamoja na nembo ya biashara; (Business Logo)
·
Kutengeneza Tovuti ya biashara ya kikundi
·
Kusimamia na kuongeza ubora wa biashara (Quality
Control)
·
Kutengeneza vipeperushi (Brochures)
·
Kufanya matangazo ya wazi
·
Kufanya matangazo kupitia vyombo vya habari
(Magazeti na Redio)
·
Kuhudhuria maonyesho ya nane nane
MPANGO WA BIASHARA WA
KIKUNDI
CHA
TUNAWEZA
WELDERS GROUP(TWG)
MUDA: 2016 –
2018
ANWANI :P:O:BOX 205 Muleba
BARUA PEPE:tunaweza-muleba
SIMU:
0763667592
PROPOSAL YA MAOMBI YA FEDHA
ANDIKO
LA MRADI WA KIKUNDI CHA
TUNAWEZA
WELDERS GROUP
MUDA
WA UTEKELEZAJI
2016-2017
ANWANI YA
POSTA; S.l.P 205 MULEBA TANZANIA
BARUA PEPE;twaweza-muleba
SIMU;0763667592
Utangulizi
Umoja wa
mafundi Muleba ni kikundi cha hoja
uzalishaji mali, kikundi hiki kimesajiriwa na idara ya maendeleo za jamii kwa
usajiri nambari ZM/KIJ/KU.44/2011 .
MALENGO
Malengo makuu
ya kikundi ni kama yafuatayo:
·
Kuhamasisha
maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
·
Kutoa mafunzo ya ujasiliamali kwa vijana.
·
Kutoa mafunzo
ya fundi
kwa vijana iliwaweze kujiajiri
·
Kutoa
mafunzo ya kuweka na kukopa kwa vijana (saving & credit program)
Uongozi wa
kikundi :
Kikundi kina
uongozi wa uongozi kama ifuatavyo:
·
Mwenyekiti:Pancras
Ntwala
·
Katibu: Onesmo
Pancras
·
Mweka hazina:Suleiman
Edward
·
Rashid
Issa-mjumbe
Ainisho la
tatizo
Wilaya ya Mleba
ina idadi ya watu taklibani 540,310 kulingana na sensa ya watu ya na makazi ya mwaka 2012
Kulinngana na
takwimu hizi vijana ni asilimia 30 ya wakazi
wote wa Wilaya Muleba.Taarifa mbalimbali za wadau na Halmashauri ya Wilaya Muleba zaonyesha vijana kuwa na matatizo makuu yafuatayo:-
·
Ukoefu wa ajira
·
Kuna tatizo la
ukosefu wa ajira kwa vijana katika wilaya Muleba vijana wengi waliomaliza darasa
la saba kidato cha nne na sita,wanahama kutoka vijijini kuja mjini; Vijana hao
wenye umri kati ya miaka 14 – 35 hufanya shughuli mbali mbali zikiwemo na
umachinga, kazi za nyumbani, vibarua vya kilimo na kuchunga mifugo.
·
Wanaokosa ajira
hujiingiza kwenye makundi yasiyo na maadili ambayo ni pamoja na
·
Kuvuta bangi
·
Kucheza kamali
·
Utapeli
·
Matokeo ya
vijana kukosa ajira
-
Kupatwa na magonjwa ya zinaa na hasa UKIMWI
-
Kujiingiza
katika makundi ya madawa ya kulevya.
-
Kuongezeka kwa
kiwango cha umasikini wa kipato kati ya vijana.
-
Uzuraraji na
kongezeka kwa vijana wa mitaani (Street Children)
-
Kupungua kwa
amani na usalama kati ya wanajamii (Peace and Security)
-
Kushuka kwa
maadili miongoni mwa vijana.
-
Kuongezeka kwa
vitendo vya jinai na ujambazi
1.2 Njia ya utekelezaji:- (Implementation
methodology)
Mradi
unategemewa kutekelezwa kwa kufanya shuguli zifuatazo:-
1.
Elimu ya
ujairiamali na kutolewa elimu ya ujasiriamali na fundi
2.
Kutotolewa elimu ya jasiliamali na ufundi kwa vijana elimu hili litalenga katika
fani zifuatazo :
·
Uwekezaji
·
ujasiliamali na ajira
·
Elimu ya kuweka
na kukopa
Kuwezesha vijana kiuchumi
·
Kutakuwa na
programu ya kuwawezesha vijana
kiuchumi, programu hii italenga katika kutoa
mafunzo ya mitaji ya kiufndi kwa vijana.
·
Kila kijana atakamaliza
mafunzo ya ufundi na ujasiliamali
, atapewa tuzo ya sanduku moja la vifaa
(tool box) hir itawasaidia kujiajili baada ya kupata mafunzo.
Kuwezesha kikundi
·
Kwa kuwa kikundi
ni kituo cha kutoa mafunzo kwa vijana
kitawezeshwa ili kuweza kutoa huduma bora kwa vijana.
·
Uwezeshaji wa kikndi utakuwa kama ifuatavyo:
Ø
Kununua mashine
4 za kukereza zenye thamani ya Tshs 3,000,000/=
kwa kila mmoja ,sawa na Tshs 12,000,000/=
Ø
Kununua vifaa
vingine vya uekezaji vyenye thamani
ya Tshs 25,000,000/=
Ø
(Orodha
imeambatanishwa )
Ø
Kufanya usimamizi na tathimini ya mradi kwa thamani ya Tshs
5,000,000/= hiyo ikiwemo
gharama za usafirishaji wa vifaa, posho na gharama za utawala.
Ø
Kuanzisha mpango wa kuweka na kukopa (saving aand credit
scheme) hii itatekelezwa ili kuwezesha
wanachama (mafundi ) kupata fedha
ya kuendesha shughhuli zao.
Ø
Mfuko wa kuweka
na kukopa utaanza na jumla ya Tshs 10,000,000/=
Ø
Mpango
mzima wa utekelezaji utagharimu Tshs 50,000,000/= (milioni hamsini )
1.
2.1shughuli
za mradi.
i.
Kutoa
elimu ya ujasiliamali na ufundi
kwa vijana 50 kutoka SIDO na
maeneo mengine ya wilaya
ya Muleba.
ii.
Kutoa
masanduku 50 ya vifaa vya kazi kwa vijana 50 kutoka SIDO na maeneo
mengine ya Wilaya ya Muleba.
iii.
Kununua mashine 4 za kukereza kwa ajili ya kikundi
iv.
Kununua vifaa vya ukerezaji (welding accessories / tools.
v.
Kuanzisha mpango wa
kuweka na kukopa kwa wanachama (mafundi)
vi.
Kufanya
usimamizi na tathimini
1.3. Mpango
wa kazi (work plan)
Sn
|
Shughuli
|
2016
|
2017
|
2018
|
|||||||||||||
|
|
Q1
|
Q2
|
Q3
|
Q4
|
Q1
|
Q2
|
Q3
|
Q4
|
Q1
|
Q2
|
Q3
|
Q4
|
||||
1.
|
Kutoa elimu ya ujasiliamali
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
||||
2.
|
Kununua masanduku 50 ya vifaa
vya kazi kwa kazi
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
||||
3.
|
Kununua mashine 4 za
kukereza
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
||||
4.
|
Kuanzisha mpango wa kuweka
na kukopa
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
||||
|
Usimamizi na tathimini
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
||||
|
|
||||||||||||||||
1.4. MATOKEO YA
UTEKELEZAJI (OUT COME)
·
Kutolewa
mafunzo ya kwa vijana 50 kutoka
karakana ya SIDO na maeneo
mengine ya eneo la Muleba.
·
Kununuliwa masanduku
50 tool box 5 kwa ajili
ya vijana wahitimu kuongezeka kwa kipato cha vijana kutoka Tshs 1,000/=kutwa hadi Tshs 2000/= kwa kutwa.
·
Kupunga kwa vitendo vya jinai , madawa ya kulevya.
·
Kupungua kwa
magonjwa ya kambukiza, ikiwemo ukimwi na
magonjwa mengine ya zinaa(sexually transmitted infections).
SN
|
SHUGHULI
|
MUDA
|
KIASI
|
BEI
|
JUMLA
|
1.
|
Kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vijana
50 kutoka SIDO na wilaya ya Muleba
|
|
|
|
|
|
|||||
|
-
Wawezeshaji
|
7
|
3
|
100,000/=
|
2,100,000/=
|
|
-
Vifaa vya
ufundishaji
|
-
|
L5
|
350,000/=
|
3,500,000/=
|
|
-
Usafiri
|
x2
|
Km50
|
5000/=
|
500,000/=
|
|
-
Posho za
washiriki
|
7
|
50
|
20,000/=
|
7,000,000/=
|
|
-
Nauli ya
washiriki
|
x2
|
50
|
5000/=
|
500,000/=
|
|
-
Ukumbi
|
7
|
1
|
800,000/=
|
700,000/=
|
|
JUMLA
|
-
|
-
|
-
|
12,300,000/=
|
2.
|
Kununua vifaa vifaa vya
wafunika kwa wahitiu
-
Masanduku
|
-
|
50
|
100,000/=
|
5000,000/=
|
|
JUMLA
|
_
|
_
|
_
|
5000,000/=
|
3.
|
Kununua mashine za kukereza (welding mashine)
|
_
|
4
|
_
|
_
|
|
JUMLA
|
_
|
_
|
_
|
12,000,000/=
|
4.
|
Mpango wa kuweka na kukopa
|
_
|
L 5
|
10,000,000/=
|
10,000,000/=
|
|
JUMLA NDOGO
|
-
|
-
|
-
|
10,000,000/=
|
5.
|
Usimamizi na
tathimini ya mradi
|
|
-
|
|
|
-
Gharama za
tawala
|
Robo 12
|
-
|
500,000/=
|
6,000,000/=
|
|
-
Ukaguzi wa mahesabu
|
Miaka 3
|
-
|
300,000/=
|
900,000/=
|
|
-
Pango la
ofisi
|
Miezi 36
|
-
|
100,000/=
|
3,600,000/=
|
|
-
Gharama za
kibenki
|
Miaka 3
|
-
|
200,000/=
|
200,000/=
|
|
6.
|
JUMLA NDOGO
|
-
|
-
|
-
|
10,500,000/=
|
|
|
|
|
|
|
7.
|
JUMLA KUU
|
-
|
-
|
-
|
50,000,000/=
|
3.
BAJETI YA MRADI
Subscribe to:
Posts (Atom)