Monday, 27 June 2016

PROPOSAL YA MAOMBI YA FEDHA









ANDIKO LA MRADI  WA KIKUNDI CHA
TUNAWEZA WELDERS GROUP





MUDA WA UTEKELEZAJI





2016-2017








ANWANI YA POSTA; S.l.P 205 MULEBA TANZANIA
BARUA PEPE;twaweza-muleba
SIMU;0763667592












Utangulizi

Umoja wa mafundi  Muleba ni kikundi cha hoja uzalishaji mali, kikundi hiki kimesajiriwa na idara ya maendeleo za jamii kwa usajiri  nambari ZM/KIJ/KU.44/2011 .

MALENGO
Malengo makuu ya kikundi ni kama yafuatayo:
·        Kuhamasisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
·        Kutoa  mafunzo ya ujasiliamali kwa vijana.
·        Kutoa mafunzo ya  fundi  kwa vijana iliwaweze kujiajiri
·        Kutoa mafunzo  ya kuweka na kukopa  kwa vijana (saving & credit  program)
Uongozi wa kikundi :
Kikundi kina uongozi wa uongozi  kama ifuatavyo:
·        Mwenyekiti:Pancras Ntwala
·        Katibu: Onesmo Pancras
·        Mweka hazina:Suleiman Edward
·        Rashid Issa-mjumbe

Ainisho la tatizo
Wilaya ya Mleba ina  idadi ya watu  taklibani 540,310 kulingana  na sensa ya watu ya na makazi ya mwaka 2012
Kulinngana na takwimu  hizi vijana ni asilimia 30 ya wakazi wote wa Wilaya Muleba.Taarifa mbalimbali za wadau na  Halmashauri ya Wilaya Muleba  zaonyesha vijana kuwa na matatizo makuu  yafuatayo:-
·        Ukoefu wa ajira
·        Kuna tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana katika wilaya Muleba vijana wengi waliomaliza darasa la saba kidato cha nne na sita,wanahama kutoka vijijini kuja mjini; Vijana hao wenye umri kati ya miaka 14 – 35 hufanya shughuli mbali mbali zikiwemo na umachinga, kazi za nyumbani, vibarua vya kilimo na kuchunga mifugo.
·        Wanaokosa ajira hujiingiza kwenye makundi yasiyo na maadili ambayo ni  pamoja na
·        Kuvuta bangi
·        Kucheza kamali
·        Utapeli
·        Matokeo ya vijana kukosa ajira
-         Kupatwa na  magonjwa ya zinaa na hasa UKIMWI
-         Kujiingiza katika makundi ya madawa ya kulevya.
-         Kuongezeka kwa kiwango cha umasikini wa kipato kati ya vijana.
-         Uzuraraji na kongezeka kwa vijana wa mitaani (Street Children)
-         Kupungua kwa amani na usalama kati ya wanajamii (Peace and Security)
-         Kushuka kwa maadili miongoni mwa vijana.
-         Kuongezeka kwa vitendo vya jinai na ujambazi

1.2     Njia ya utekelezaji:- (Implementation methodology)
Mradi unategemewa kutekelezwa kwa kufanya shuguli zifuatazo:-
1.     Elimu ya ujairiamali na kutolewa elimu ya ujasiriamali na fundi
2.     Kutotolewa  elimu ya jasiliamali  na ufundi kwa vijana  elimu hili litalenga  katika  fani zifuatazo :
·        Uwekezaji
·        ujasiliamali  na ajira
·        Elimu ya kuweka na kukopa

Kuwezesha  vijana kiuchumi

·        Kutakuwa na programu  ya kuwawezesha  vijana  kiuchumi, programu hii  italenga  katika kutoa  mafunzo  ya mitaji ya kiufndi  kwa vijana.
·        Kila kijana  atakamaliza  mafunzo ya ufundi  na ujasiliamali , atapewa tuzo ya sanduku moja la vifaa  (tool box)  hir itawasaidia kujiajili  baada ya kupata mafunzo.

Kuwezesha  kikundi

·        Kwa kuwa kikundi ni kituo cha  kutoa mafunzo  kwa vijana  kitawezeshwa  ili  kuweza kutoa huduma bora  kwa vijana.
·        Uwezeshaji  wa kikndi utakuwa kama  ifuatavyo:
Ø Kununua mashine 4 za kukereza zenye  thamani ya Tshs 3,000,000/= kwa kila  mmoja ,sawa na  Tshs 12,000,000/=
Ø Kununua  vifaa  vingine vya uekezaji  vyenye  thamani  ya Tshs 25,000,000/=
Ø (Orodha imeambatanishwa )
Ø Kufanya  usimamizi na tathimini  ya mradi kwa thamani  ya Tshs  5,000,000/= hiyo ikiwemo  gharama  za usafirishaji  wa vifaa, posho na gharama  za utawala.
Ø Kuanzisha  mpango wa kuweka na kukopa (saving  aand credit  scheme) hii  itatekelezwa  ili kuwezesha  wanachama (mafundi ) kupata fedha  ya kuendesha  shughhuli zao.
Ø Mfuko wa kuweka na kukopa utaanza na jumla ya Tshs 10,000,000/=
Ø Mpango mzima  wa utekelezaji utagharimu  Tshs 50,000,000/= (milioni  hamsini )

1.     2.1shughuli za mradi.

i.                   Kutoa elimu  ya ujasiliamali  na ufundi  kwa vijana 50 kutoka SIDO na  maeneo  mengine  ya wilaya  ya Muleba.
ii.                 Kutoa masanduku  50  ya vifaa vya kazi  kwa vijana 50 kutoka SIDO  na maeneo  mengine ya  Wilaya  ya Muleba.
iii.              Kununua  mashine 4 za kukereza kwa ajili ya kikundi
iv.              Kununua  vifaa vya  ukerezaji (welding  accessories / tools.
v.                 Kuanzisha  mpango wa  kuweka na kukopa kwa wanachama (mafundi)
vi.              Kufanya usimamizi  na tathimini  






1.3.  Mpango  wa kazi (work plan)

Sn
Shughuli
2016
2017
2018


Q1
Q2
Q3
Q4
Q1
Q2
Q3
Q4
Q1
Q2
Q3
Q4
1.      
Kutoa  elimu  ya ujasiliamali












2.      
Kununua  masanduku  50 ya vifaa  vya kazi  kwa kazi












3.      
Kununua mashine 4 za  kukereza












4.      
Kuanzisha mpango  wa kuweka na kukopa 













Usimamizi  na tathimini




































1.4. MATOKEO YA UTEKELEZAJI (OUT COME)
·        Kutolewa mafunzo ya  kwa vijana   50 kutoka  karakana  ya SIDO  na maeneo  mengine  ya eneo la Muleba.
·        Kununuliwa   masanduku  50 tool  box 5  kwa ajili  ya vijana  wahitimu  kuongezeka kwa kipato cha  vijana kutoka Tshs 1,000/=kutwa  hadi Tshs 2000/= kwa kutwa.
·        Kupunga  kwa vitendo vya  jinai , madawa ya kulevya.
·        Kupungua kwa magonjwa ya kambukiza, ikiwemo  ukimwi na magonjwa  mengine  ya zinaa(sexually transmitted  infections).















SN
SHUGHULI
MUDA
KIASI
BEI
JUMLA
1.      
Kutoa  elimu ya ujasiriamali kwa  vijana  50 kutoka  SIDO na wilaya  ya Muleba










-         Wawezeshaji
7
3
100,000/=
2,100,000/=

-         Vifaa vya ufundishaji
-
L5
350,000/=
3,500,000/=

-         Usafiri
x2
Km50
5000/=
500,000/=

-         Posho za washiriki
7
50
20,000/=
7,000,000/=

-         Nauli ya washiriki
x2
50
5000/=
500,000/=

-         Ukumbi
7
1
800,000/=
700,000/=

JUMLA
-
-
-
12,300,000/=
2.      
Kununua  vifaa vifaa  vya  wafunika  kwa wahitiu
-         Masanduku

-

50

100,000/=

5000,000/=

 JUMLA
_
_
_
5000,000/=
3.      
Kununua  mashine  za kukereza (welding  mashine)
_
4
_
_

JUMLA
_
_
_
12,000,000/=
4.      
Mpango wa kuweka na kukopa
_
L 5
10,000,000/=
10,000,000/=

JUMLA NDOGO
-
-
-
10,000,000/=
5.      
Usimamizi  na tathimini  ya mradi

-


-         Gharama za tawala
Robo  12
-
500,000/=
6,000,000/=
-         Ukaguzi  wa mahesabu
Miaka 3
-
300,000/=
900,000/=
-         Pango la ofisi 
Miezi 36
-
100,000/=
3,600,000/=
-         Gharama za kibenki
Miaka 3
-
200,000/=
200,000/=
6.      
JUMLA  NDOGO
-
-
-
10,500,000/=






7.      
JUMLA KUU
-
-
-
50,000,000/=
3.      BAJETI YA MRADI



















6 comments: